VIDEO ya Harusi ya Peter Okoye wa P-SQUARE iliyohudhuriwa na DIAMOND PLATINUMZ WA TZ....!!CHEKI HAPA


Diamond akiwa Nigeria kwa ajili ya kazi yake ya ku-shoot video zake pia amepata nafasi ya kuhudhuria harusi ya Peter wa P Square  ambayo ilihudhuriwa na wasanii wengine kama Iyanya, Hizi hapa ni video na picha kutoka kwa Diamond ambazo alipiga usiku wa harusi hiyo.

BONYEZA  LINK HIYO KICHEK VIDEO