PICHA ZA WEMA SEPETU ZA USIKU MWEMA {za kitandani} ZA CHANGANYA WADAU




Msanii maarufu wa filamu na miss tanzania 2006 anaejulikana kwa jina la Wema sepetu,awachanganya wadau wake wa mtandao wa viber na twitter baada ya yeye kutupia picha za kuwatakia usiku mwema mashabiki wake ,picha hizo zinazo mwonyesha mrembo huyo akiwa amekaa pozi mbalimbali kitandani zilizofanya wadau{mashabiki} wake kusema mengi juu picha hizo...
sijui na wewe mdau zimekuchanganya??

Maoni ya mashabiki wake 

MUONE SUPER STAR WA BONGO ACHARUKA KWA UJIO WA PSQURE TANZANIA ROUND HII


                                                       p squre
                                                    jackline walper
Msanii maarufu muigizaji tanzania maarufu  kwa jina la Jackline walper afunguka kuhusu ujio wa wasanii wa muziku wakubwa duniani Psqure  tanzania kwenye show ilio andaliwa na kituo kikubwa cha tv EATV  ambayo imetangazwa na kituo hicho kuwa itafanyika tarehe 23.11.2013 yakuwa atasitisha    
kazi zake zote ikiwemo kwenda kushoot night scene ya movie yake mpya kwakuwa yeye anahisi ndie shabiki mkubwa sana wa psgure akiwa kama  katika mastaa,.

AIBU: ANGALIA JINSI SHILOLE ALIVYONYONYWA MATITI NA SHABIKI WAKE JUKWAANI




Shabiki akimnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wacheze wote. 

Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shabiki wake

jamaa akifaidi ziwa la Shilole










BAADA YA KUACHANA NA DIVA, PREZZO AHAMISHIA PENZI KWA MTOTO MWINGINE WA KICHAGA





 
Baada ya kuripotiwa kutoka na dada zetu kadhaa wa kibongo na juzi kati kusababisha VITA kali kuliko ile ya ALSHABAB kati ya Diva na Huddah sasa hivi RAPCELLENCY EL PRESIDENTE PREZZO aamuakutoka na mtoto wa kichaga anaejulikana kama STALLISHA TILLYA au ChaggaBarbie ambae makazi yake yapo kwa Obama..
Mapenzi hayo yanayoonekana bado mapya mapya yanachukua hatam zaidi Instagram uku baby baby zikiwa nyingi kuliko...
Watabiri wa mambo wanasubili kuona mwisho utakuwaje maana eheheheheh shemej yetu nae ajambo kwelikweli...