BREAKING NEWS; UFOO SARO WA ITV NA MAMA YAKE WAPIGWA RISASI LEO

Reporter maarufu wa television ya itv na radio one apigwa risasi na mchumba wake nakuwaishwa hospitali akiwa mahututi huku mama yake mzazi kufa hapo hapo  baada ya kupigwa risasi na mkwe wake{ mchumba wa mwanae Ufoo Saro} na mchumba huyo kujiua kwa kujipiga risasi baada ya kufanya tukio hilo la kinyama ambalo hadi sasa tunaingia mitamboni kisa cha tukio hilo hakija julikana......
Maombi yenu yanahitajika!!

PENNY AZIMIA NIKAULI ILIO KAUSWHA NA YEYE MWENYEWE YOTE KUHUSU DIAMOND NA WEMA



Posted by ej fashion real media
Kuna taarifa zilienea jana kupitia mitandao ya kijamii kuwa .
mchumba wa Diamond yupo hoi hospital baaada ya kuona picha za Diamond naWema.akichat na Sam wa sammisago.com.Penny amekanusha taarifa hizo kuwa siyo za kweli.na siku nzima alikuwa kazin kwake.
TOA MAONI YAKO by commenting!!

TAZAMA TATTOO MPYA YA LULU MICHAEL NA MAANA YAKE



 
Tarehe 9/10 kabla hajalala mwigizaji Lulu aliwaonyesha mashabiki zake picha ya tatoo yake mpya ambayo imechorwa juu ya kifua karibu na bega ikiwa ni picha aliyoipost na ikaambatana na maneno yafuatayo. 
“Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!! kwa upeo wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake, hivi Mungu angetaka kufanya kama wanadamu tunavyofanya tungeangaliana kweli? nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam”

MSANII NAKAYA SUMARI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME



MSANII NAKAAYA SUMMARY AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME


Jumamosi iliyopita ya tarehe 5 msanii wa bongo fleva NAKAAYA SUMMARY mungu alimjalia kujifungua salama na kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la KAI SAMUEL. Leo kupitia account yake ya Instagramamepost picha hii ya mtoto na kumuandikia maneno mazuriiiiiiiii






Hizi ni faida za sex kiyansi jamaniiii....!!


      KISAYANSI SABABU NA FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI HIZI HAPA

 

(hapa nazungumzia yale salama na yalio halalishwa kwa ndoa na si vinginevyo jamani,dont quote me wrongly)

 Scientists show that sex is extremely beneficial for our health, while the lack of an active sex life might have negative effects. But too much sex, can also be harmful: more than thrice a week it can weaken the immune system, making us vulnerable to infections...

1. Our mental and emotional health balance is clearly influenced by sex. Abstinence is known to cause from anxiety to paranoia and depression... In fact, in case of light depressions, after having sex the brain releases endorphins, that decrease stress, inducing a state of euphoria.

2. Sex can be a beauty treatment. While having sex, a woman's body doubles the estrogen level, and this makes her hair shine and the skin becomes softer.

3. A 10-year research carried on 1,000 middle-aged men at Queens University in Belfast, Ireland, showed that sex on a regular basis increases the humans' lifespan. For the same age and health, those who had orgasms more frequently had half the death rate of men who did not have such frequent orgasms. This could be due to the plummeting stress hormones, reaction that installs after we have sex.

3. Sweating while having sex cleanse the skin pores, making the skin brighter and decreasing the risk of developing dermatitis.

4. Sex can make us lose weight. You burn all that fat and carbohydrates from the romantic dinner. Quickies of 20 minutes weekly mean 7 500 calories annually, that's as much as you consume on 120 km (745 mi) of jogging. A sex session can burn about 200 calories. This is like running 15 minutes on a treadmill!

5. Sex strengthen our muscles. You can imagine the effort made by your muscles through those pushes and flexions. It depends on your stunts in bed, of course. And it's clearly a lot more fun than running for miles.

6. The more active your sex life is, the more attractive for the opposite sex you are. High sexual activity makes the body release more pheromones, chemicals that attract the opposite sex.

7. Sex sharpens our senses, at least the smell. Following the orgasm, a rise of the hormone prolactin makes the brain's stem cells form new neurons in the olfactory bulb, boosting a person's olfactory abilities.

8. Sex is also a pain reliever, ten times more effective than typical painkillers: immediately before orgasm, levels of the hormone oxytocin rise by five times, determining a huge release of endorphins. These chemicals calm pain, from a minor headache to arthritis or migraines, and with no secondary effects. Migraines also disappear because the pressure in the brain's blood vessels is lowered while we have sex. So now we see that actually, a woman's headache is rather a good reason for having sex, not against it.

9. Kissing your partner daily means less visits to dentist. Kissing stimulates salivation, which cleanses food left between the teeth and lowers the acidity in the mouth, the main cause of the tooth decay.

10. A good sex session can be a good remedy against stiff nose, being a natural antihistaminic that helps combating asthma and high fever.

11. Having sex regularly drops the cholesterol level, balancing the ratio good cholesterol: bad cholesterol.

12. The hormones released while we have sex helps both men and women; estrogen protects a woman's heart but on the long term, it can be efficient also against Alzheimer's disease and osteoporosis while testosterone strengthens the bones and muscles.

13. Sex is not beneficial not only for the heart, but also for the blood circulation, especially in the brain, because of the increased heart rate and deep breathing.

14. The sexual activity lowers the risk of getting colds and the flu. 1-2 intercourses weekly means 30 % higher levels of the antibody immunoglobulin A, that spurs the immune system.

15. Sex leads to a better control of the bladder, by strengthening the pelvis muscles controlling the flow of urine.

16. After orgasm, especially in the evening, we become sleepy. This is the effect of some good sex: it increases sleep quality. Following an orgasm, the body of both males or females becomes completely relaxed, so they may have a good deep sleep.

17. Sex fights cancer! Various researches have shown that a high ejaculation frequency and sexual activity are linked to a lower risk of prostate cancer later in life. A study found out that men who ejaculated 13 to 20 times monthly presented a 14% lower risk of prostate cancer than men who ejaculated on average, between 4 and 7 times monthly for most of their adult life. Those ejaculating over 21 times a month presented a 33% decreased risk of developing prostate cancer than the baseline group.

PICHA:JOSE CHAMELEON AKI PERFORM NA MPENZI WAKE KWA MARA YA KWANZA

Msanii wakimataifa wa muziki toka nchini Uganda maarufu kwa jina la Jose Chameleone ameonekana katika hisia kali sana akiwa anaimba katika show moja akiwa nchini humo Uganda baada ya kucheza na mwana dada moja mrembo ,ambaye amekua akionekana nae sehemu mbalimbali ,nakudaiwa ni mpenzi wake wamuda murefu sasa,pia mrembo huyo ameonekana akiwa na furaha sana kwa kucheza na mpenziwe jukwaani kwasababu amedai ni mara ya kwanza kufanya nae hivyo.


LINAH AVALISHWA PETE YA UCHUMBA NA BOSS MOJA HAPA BONGO

                                                                                                            
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Estelina maarufu kwa jina la Linah,aamua kuvunja ukimysa na kuwa muwazi kwakuanika pete ya uchumba mbele ya kadamunasi na kupigwa picha akionyesha pete hiyo,huku akidai pete hiyo amevalishwa na mwanaume mmoja mwenye mkwanja mrefu aliopo hapa hapa bongo na  ivikaribuni ata mweka wazi kwa jina maana ndoa yao inakaribia...

KIBUTI CHA TID NOMA SANA, AFUNGUKA SABABU NA AMEKIPOKEAJE KIBUTI HICHO


Leo asubuhi nimekutana na hii Massage ya Mwanamuziki wa Bongo Flava TID kwenye Ukurasa wake wa Facebook ikisema "I am very sad to tell u guys that ..........am single again my girl just left me

Akimanisha kuwa ninasikitika kuwaambia kuwa mimi ni single tena msichana wangu ameniacha...

Watu mbali mbali wame comment kumpa moyo na pole ..chini ni Baadhi ya comments:

JE NI KWELI CLOUDS TV WANA COPY VIPINDI KUTOKA EATV? UTAMU UKO HAPA!!

Ubunifu ni kitu pekee kinachoweza kuitofautisha brand moja hadi nyingine/kampuni nyingine ambazo/yo inatoa huduma zinazolingana/fanana.

Nirudi kwenye topic,sina shaka na uwezo wa clouds media Group katika ubunifu na mambo mengine linapokuja suala la burudani hapa Tanzania, ila kwa hili niseme Clouds TV wamekosa ubunifu na walichoishia kufanya ni kukopy na kupaste vipindi vyao kutoka TV stations nyingine mfano EATV.Vifuatavyo ni baadhi ya vipindi ambavyo Clouds TV wamekopy na kupaste kutoka EATV....

1.Siz kitaa- City sound (kilichokuwa kikiendeshwa na Seki)

2.Take One-Bongo movie (kilichokuwa kinaendeshwa na Joyce Kiria).

3.Ongea na Janeth-The Mboni show (kinachoendeshwa na Mboni)

4.Wazee wa Madebe-Friday Night Live(kinachoendeshwa na Sam Misago).

5.kipindi cha Paradise cha Irene uwoya nayo ni programu ambayo inendeshwa na TV stesheni nyingi za nje katika mtindo wa documentary,lakini kipindi hiko kinafanana kabisa na kipindi ambacho hufanywa huko Nigeria na moja ya TV stesheni,so sio kitu kipya pia.

Mdau unaweza kuongeza vipindi unavyovijua ambavyo jamaa wamecopy ila si kwa nia mbaya.

Source:Jamii Forums

AY AFANYA TUKIO KATI YA MATUKIO MATATU MAKUBWA KWENYE FIESTA MOSHI

                                             mchaga akimkabili shilole
                                                 shilole akipagawa na masawe[mchaga]
                                                  J Martin
                                                    shaniki akionyesha saa zawadi toka kwa J Martin
                                          AY aki uza sura kwa camera huku FA akifanya yake
Tamasha kubwa la kistoria laki burudani maarafu kwa jina la SERENGETI FIESTA,linalofanyika mikoa mbali mbali nchini ,ila tamasha hilo likiendelea  mikoani mkoa wa moshi matukio yalikuwa mengi ila tukiola uchezaji wa shilole na shabikiwake pamoja na mchezaji wake,huku JMartin akigawa saa yenye samanni kubwa kwa shabiku moja wapo,na la mwisho ni pale msanii mkubwa AY alipo achana kushirikiana kuimba na FA nakugeukia kamera yanguma nakionyesha ishara ya amani kwajili ya kupigwa picha,hayo ndio yalikuwa matukio makubwa katika shangwe hizo.....