MAKUBWA YA LINEX NA AUNT EZEKIELI JIONEE PICHA HAPA

EJ fashion  and media .....






Makubwa kati ya wasanii hao wakubwa wa bongo wanaofanya viwanda viwili tofauti ya bongo movie and bongo flava sasa moja wao yani linex ahamia toka  bongo flava kwenda bongo movie na kuigija pamoja na Aunt ezekiel  tena kupengele cha mapenzi ya dhati....

TAZAMA DIAMOND ALIVYOCHANGANYIKIWA NA DEMU WA DAVIDO HUKO LAGOS


Diamond akimchekea demu wa davido alie simama kwa chini,baada ya kumuona pande hizo za club.

Davido na demu wake ambaye alikuwa akimcheki  diamond plutinumz kwa mbaaali.
Diamond akiwa pande za  Niggeria akila bata na Davido katika  ziara yake fupi nchini humu hayo ndio baadi ya nayo jiri huko tulio weza wapa habari .

TAZAMA PICHA ZA MSANII CINDY AKITOKWA DAMU SEHEMU NYETI AKIWA STEJINI



Hizi zinaweza kuwa nyakati mbaya kwa Msanii Cindy wa blue three baada ya kuwashtua mashabiki wake akiwa anapiga show live kwa stage huku ikionekana damu zikimtoka sehemu nyeti…Picha nyingine iko hapa

Credit: redpepper Africanewspost

PICHA ZA FUMANIZI LA BOB JUNIOR NA MWANADADA .

http://theclicktz.blogspot.com

http://theclicktz.blogspot.com

Hili ndio fumanizi la maadalizi ya video ya  muziki ya  Bob junior akiwa na  Cyrill, pamoja na mwana dada waliopo pichani.

MAJANGAA YA SNURA NA NGASA NI FULU KUVURUGWA NDANI YA PENZI JIPYA

http://theclicktz.blogspot.com/
Ngassa akiwa kimahaba na Snura.

Na Hamida Hassan
Staa wa sinema na muziki Bongo, Snura Anton Mushi na Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa wamenaswa ‘laivu’ wakiwa kimahaba, Amani lina mkanda kamili.

Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu, tukio hilo lililijiri hivi karibuni nyumbani kwa Snura maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambapo wawili hao walibambwa wakiwa wamejiachia ‘wakifanya yao’.
Mnyetishaji huyo alidai kuwa wawili hao walikuwa wakiminyana bila kujali macho ya watu waliokuwa wakifika nyumbani kwa Snura hasa marafiki na majirani zake.

http://theclicktz.blogspot.com/
 Ngassa akimbusu Snura.
“Yaani walikuwa wakioneshana mahaba kama njiwa bila kificho chochote.
“Kuna ‘taimu’ Snura alikuwa akimpakata Ngassa utadhani mtoto mdogo.
“Baadaye hata Ngassa naye alifanya hivyohivyo huku akicheza na nywele za Snura anavyotaka,” alidai shuhuda wetu.
Ili kujiridhisha, Amani lilisaka picha za wawili hao ambazo walikuwa ‘wakijifotoa’ kwa simu zikiwaonesha wakiwa katika mahaba jambo lililozua utata na maswali kwa walioziona.

http://theclicktz.blogspot.com/
 ...Wakiwa katika pozi.
Uchunguzi wa gazeti hili ulibainisha kuwa siyo mara ya kwanza kwa Snura na Ngassa kunaswa wakiwa beneti kwani wiki mbili zilizopita walibambwa kwenye ukumbi mmoja wa starehe jijini Dar wakila bata ndefu.
Baada ya kulishwa ‘niuzi’ hizo, gazeti hili lilimsaka Snura ambapo alipopatikana alitakiwa alimwagiwa habari yote juu ya uhusiano wake tata na Ngassa ambapo alikuwa na haya ya kusema:

http://theclicktz.blogspot.com/
 ...Ngassa akimsuka Snura.
“Nimeshtuka sana kusikia hizo picha zimewafikia kwa sababu mimi na Ngassa ni marafiki na yeye (Ngassa) ni shabiki mkubwa wa nyimbo zangu.
“Ngassa alinitembelea kama marafiki wengine wanaokuja nyumbani kwangu. Simu yangu ilipotea ndiyo maana picha zikavuja lakini ukweli ndiyo huo.”

http://theclicktz.blogspot.com/
 ...Wakizidi kujiachia kimahaba.
Kwa upande wake Ngassa ambaye yupo mapumzikoni baada ya kumalizika kwa msimu wa kwanza wa Ligi Kuu Bara hakuweza kusema chochote kufuatia simu yake ya kiganjani kuita bila kupokelewa.

CHANZO:GlobalPublishers

WEMA SEPETU NA ROSE NDAUKA VITANI

Na Shakoor Jongo
MASTAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka na Wema Sepetu wanadaiwa kuingia vitani, mpambe mmoja wa Wema akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram alimtuhumu Rose kwamba aliwahi kushiriki kikao kimoja kilichokuwa kikimjadili ‘madam’ huyo sanjari na kumtukana.

Mpambe huyo aliyetumia picha ya Wema (huenda akawa Wema mwenyewe), alisema kuwa siku moja isiyokuwa na jina hivi karibuni, Rose alishiriki kikao hicho kilichofanyika kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam ambapo sehemu kubwa ya mazungumzo ilikuwa ikimchambua Wema.

Akizungumza na Amani kwa njia ya simu juzi kuhusiana na tuhuma hizo, Rose alisema anashangaa matusi anayotukanwa na mtu huyo kwani ana mwaka mmoja hajawahi kukanyaga katikia viwanja hivyo vilivyopo Kinondoni, Dar.

“Kiukweli huyo mtu amenitukana bure, hajakaa na kufanyia uchunguzi hizo taarifa alizopewa, mimi sikumbuki kama kuna siku niliwahi kukaa Leaders na kuanza kumsema vibaya Wema kwani nina mwaka sijawahi kufika Leaders.

“Binafsi sina muda huo wa kumzungumzia mtu au kukaa na mtu ambaye hana faida kwangu. Mimi rafiki yangu ni mchumba wangu (Malick Bandawe), mama yangu na ndugu zangu zaidi ya hapo tunakutana shutingi tukimaliza narudi kwangu, namsihi huyo mpambe wa Wema afanye tena uchunguzi,” alisema Rose.

Juzi, Amani lilimsaka Wema kwa njia ya simu ya mkononi ili azungumzie madai hao lakini hakupatikana. Hata hivyo, habari zinasema kuwa mtu aliyemtukana Rose kwenye mtandao alitumwa na Wema au Wema mwenyewe.

Tangu Diamond kurudiana na Wema na kusambaza picha zao katika mitandao ya kijamii, hivi karibuni Wema kufiwa na baba yake mzazi (Isaac Sepetu) na baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi kususia msiba huo, kumeibuka makundi ya watu kazi yao kubwa ni kutukana watu ambao wako tofauti na Wema.