TANZAMA SEX DANCING STYLES TOKA NIGERIA ILIO ZINDULIWA HIVI TAMASHANI

http://www.theclicktz.com/
http://www.theclicktz.com/
http://www.theclicktz.com/
Katika tamasha  moja nchini Nigeria style myaa ya kucheza muziki inatoitwa sexstyles dance,ilionyeshwa na mwanamuziki na  mchezaji wake jukwaan ,,,sijui na tanzania tutaigaa hii baada ya kuiga alingo,skelewuu styles?

NEY WA MITEGO NA DIAMOND WAMVULIA KOFIA HUYU DOGO

ilikuwa ni juzi kwenye show
 yangu TCC chang'ombe.ambapo sikuwa na mwanangu,Nay true boy
 so ilinibidi niombe mtu
 mmoja kati ya mamia ya mashabiki waliokuwepo..
 amwakilishe True boy kwenye music gani ndipo dogo akajitokeza
...na siku hiyo ndiyo 

nimekubali kweli vipaji 
vya kweli vinatoka huku kwetu uswahilini...the
 kid is so talented saana,mbali na kuimba mule mule kama nay,lakin
 pia alijua kucheza na mashabiki,kucheza na jukwaa, ni kama
 mzoefu wa majukwaa siku nyingi..
angalia mwenyewe


Ads not by this site
 Nikimsikiliza kwa makini huku nisiamini anachokifanya dogo

 eheee...!!!!!!

Ads not by this site
 my turn......!!!!!
 Mwangalie vizuri dogo alikuwa akienda mule mule..........!!!!


Ads not by this site




Ads not by this site




Ads not by this site

HICHI NDICHO MSANII MAARUFU DUNIAN KELLY ROWLAND ALICHO KIFANYA AKIWA UWANJA WA FISI,DAR


Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jana jioni baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya Uswahilini tangu akiwa USA. Msanii huyo ametua nchini kwa tiketi ya MTV kupitia taasisi yake inayojishughulisha na kampeni za kupambana na Ukwimwi (Staying AliveFoundation) ya nchini Marekani, Kelly akiwa balozi wake. Akiwa Uwanja wa Fisi, ambako kunasifika kwa ufuska wa kupindukia na rate kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa wasichana wadogo, Kelly alitembelea NGO ya EYG (Elizabeth Youth Group) inayojishughulisha na kutoa misaada ya elimu ya HIV/AIDS, uchangudoa, ulevi pamoja na uvutaji bangi kwa vijana 

HATIMAE HUYU NDIO MSHINDI WA TUSKER PROJECT FAME 6 MWAKA 2013

IMG_9799

Huyu ndio mshindi wa TUSKER PROJECT FAME 6 kwa mwaka huu 2013 anaitwa HOPE kutoka BURUNDI.

HIVI NDIVYO KANYE WEST ALIVYOJIBU MAPIGO YA RAISI OBAMA JUU YAKE

Rapper Kanye West amemtolea Uvivu Rais Barack Obama wa Marekani kwa kumzuia kutaja jina lake popote na wala la Mpenzi wake Kim Kardashian...Hii inakuja kama ni kujibu mapigo baada ya raisi wa marekani kumuita Kanye kuwa ni "Jack Ass" yaani mtu mjinga ama Chizi hivi ...

Mwaka 2009 kwa mara ya kwanza Obama alimwita Kanye Jack Ass baada ya Kanye Kupinga ushindi wa Taylor Swift kushinda tuzo ya Best Female Video MTV ..Kanye West alivamia jukwaa na kupinga uteuzi huo....
Juzi Tena katika Mahojiona fulani na TV moja Huko Marekani Obama Aliulizwa Jay z na Kanye Yupi Unamchagua Ombana Akajibu Jay z, na Obama akaulizwa kama bado anamchukulia Kanye kama Jack Ass ..na akajibu hivi:
He is a jackass,” Obama said. “But he’s talented.”