MSANII PNC APIGA MAGOTI NA KUMWAGACHOZI KWA CHIEF KIUMBE



 Msani wa muziki wa kizazi kipya maarufu kwa jina la bongo flava ajulikanae kwajina na PN C  apiga magoti na kumwaga chozi kwa meneger wake the big boss kiumbe{chief} baada ya kufanya makosaa ya kujirudia kwa msimamizi wake huyo na kutaka kufukuzwa na boss huyoo...