EJ FASHION & MEDIA
ZAMARADI MTETEMA NA JOTI NDANI YA POZI ZA KUKUACHA MDOMO WAZI
Hapo JOTI akionesha hairstyle yake ya sikuhizi..
Vinywele juu...
pamoja na kwamba nimemzoea lakini saa nyingine huwa nashindwa kujizuia kucheka...
Hahaa haaa.. pozi la picha lilianza hivi..
Mara
akanitolea ulimi nje
Ghafla akabadilisha hali ikawa kama hivyo
Mara hee...
Ukatuni unaendelea...
‹
›
Home
View web version