Msanii wa bongo fleva maarufu anaetamba kwa ngoma kibao za mapenzi atupia picha akiwa amelaliwa na msichana mwenzie kwajuu yani ngongoni......mmh ukistajabu ya musa utayaona ya filauni!
hii maana yake nini .....TOA MAONI YAKO KWA KU COMMENT HAPO CHINI