PICHA 5 :MASOGANGE AKIWA NA RIHANNA HAIR STYLE .....NI KISANGAA





Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM mwanadada Agnes Gerald aka  Masogange, Bila kuandika chochote ameweka picha kuonyesha mtindo wa nywele za mwanadada RIHANA na kisha kuweka mtindo wa nywle aliouweka, ambao unafanana na ule wa RIHANA....pendeza sana mama.....we unaonaje?

                                                        ZINGINE ZIPO HAPA