Ni siku ya Audition ya Swahili fashion ambayo hufanyika kila mwaka nahivi ndio inategemea kufaniyika tena
KUMEKUCHA MISS TZ WAREMBO WA UWASHA MOTO GYM
MISS UNIVERSE 2014 AUDITION IN DAR
Shindano kubwa Tzee linalo wakutanisha Walibwende wa Mikoa kadhaa ambapo wameweza kuchukua Warembo mikoa kadhaa ila wameunganisha mikoa ambapo mikoaa amabo wanyanda ya juuUsahili ulifanyika Mbeya na Arusha . Bk Cop tulipiga story na Moja katiaya Majai wa Usahili huo Seif Kabelele alifunguka kuhusu usahilihuo .
WASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Ibrahim Kassim akiwapa maelezo warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 juu ya sifa kuu za hifadhi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Kaimu Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro, Apaikunda Mungure akiwagawia vipeperushi vilivyo na taarifa mbalimbali za hifadhi hiyo warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 waliotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 wakiwa Camp ya Mbuyu iliyopo katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana walipotembelea hifadhi hiyo ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.

TAZAMA PICHA ZA WAREMBO WA SINZA,UBUNGO,DAR INDIAN OCEAN NA MSASANI NDANI YA MISS KINONDONI TALENT SHOW 2014
HATAREEEEE! ILE BEHIND THE SCENE YA PHOTOSHOOT KALI YA MODELS WA KALI HII HAPA,TAZAMA
HATAREEEEEEE!!
EJ FASHION & MEDIA inaletwa kwenu new project {photoshoot project} na hiyi hapo juu ni nyuma ya lenzi ya yalio jiri kwenye zoezi hilo la kupiga picha kwajili ya kutangaza wanamitindo wetu na kukupa wigo wewe mfanya biashara{duka languo/vipodoz},mwanamuziki,waongozaji wa
HALI YA HAPPYNESS MAGESE YAFIKIA HAPA ....SOMA ZAIDI

JINA
lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa
Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa
akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni
TAZAMA PHOTOSHOOT KALI YA KIM AKIWA NA JUSTINE BIBER ,AMBEROSE NA PHOLO NISHIDAA

Nyingine hii hapa photoshoot ilio kutanisha ma staar wa wili huku wote wanamuonekano wa picha itazame
HII NDIO EVENT YA MODELS ILIYOVUNJA REKODI -EJ FASHION MODELS CALL JIONEE MWENYEWE
mchujo wa models ulianza hivi huku N0.1 2013 -2014 Tanzania top modelAakifanya yake |
nyomi la models wakike kwa wakiume wakisubiri kwa hamu audition ianze |
hapo sasaa models on pozi kwelekea kwa majaji |
model haki akiki uwepo wake ili kupata namber ya ushiriki kutoka kwa codinetor Jay model |
palikuwa patamu hapo moja ya meza ya models wakisubiri matokeo ya usahili |
Majaji kazi walikua nayo..Vichwa vyaumaa |
Mmoja wa models walio tishaa sana na kusisimuwa majaji ] |
Model wakiume nao hawakuwa nyuma kuonesha manjonjo yao |
big man himself.......cameraman |
KIVAZI KINACHOTINGWA SANA MAJUU:JUMPSUIT FAIDI PICHA HAPA
jumpsuit banaa inakufanya mtu ujisahahu
Asikwambie mtu hili vazi maarufu kama jumpsuit,lina tikisa sana kwa warembo wote duniani hasa uko majuu,hakika linapendeza aficans wats up,
JOKETI AACHA WATU MIDOMO WAZI KWALICHO KIPOST KUHUSU C.RONALDO,SOMA HAPA
PICHA ZA PHOTOSHOOT YA KUTAGANZA NGUO ZA KUOGELEA ZA SPORAH WA SPORAH SHOW

PhotoShoot today for SPORAH TREASURE SwimWear😎#SporahSwimWearEncouraging women to wear swimsuit with confidence and smile
BAADA YA MWENZAO KUPIGWA RISASI, KANGA MOKO WAAMUA KUFANYA HILI

Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis
ANGALIA PICHA ZA HOUSE BOY NA DADA ALIYEKUA AKIMLA NYAMA HOUSE GIRL WAKE HUYO

Anaitwa Amina Maige au Amina kumeza