HUYU NDIO RAHISI WA MASHOGA WALIOLETA SHIDA KUBWA KWA RAISI MSEVENI

https://www.facebook.com/theclicktz
Reymond shidres ndio jina halisi la mwanaume anae ongoza wanume wanao fanya mapenzi ya jinsia moja yan Mashoga ambae masikan yake ni Dubai ambae juzi juzi tu alingia nchini Uganda na kundi la wenzake huku akiungana na mashoga wa nchini humo kwajili ya kutetea na kushawishi uwongozi wa nchi hiyo kuruhusu ndoa na mapenzi ya jinsia moja.......
HAKIKA JAMII  TUNATAKIWA KUPIGA VITA LAANA HII YA USHOGA!!

TAZAMA PICHA ZINAZO ONYESHA MUONEKANO WA UZEE WA RAY,JAYDEE ,KEYLYNE NA WOLPER


                                     
Ray kigosi akiwa anamuonekano wa ujana na uzee

 
Laidy Jaidee akiwa namuonekano wa ujana na uzee
                                                     Jackline walper akiwa na mwna muonekano wa ujana na uzee
Keylin akiwa na muonekano wa ujana na  uzee
Picha za wasanii hawa nyota bongo katika tasnia kuu mbili yan tasnia ya muziki na filamu zikiwa zimehaririwa na moja wa hariri wa kubwa wa picha East Afrika mwana dada toka nchini tanzania mwenye makazi yake zaid southafrika ajulikanae kwa jina la Victoria Edward zimetupiwa mtandaoni na kupendwa na wasanii wengi kupitia mtandao wa instagram..

TAZAMA TATOO MPYA YA RIHANNA KWENYE ALIYOCHORWA SEHEMU TATA

https://www.facebook.com/theclicktz
Msanii wakimataifa toka nchini marekani anae faamika kwajina la Rihanna ameonyesha tatoo yake mya aliyo chora chini  kidogo ya maziwa yake akiwa amechora ndege aneitwa Eagel wakati akiwa anafanya photo shoot huko nchini Brazil

HAYA NDIYO YANAYOJIRI NA KUSEMWA NA B12 BAADA YA KUSEMEKANA AMEFUKUZWA KAZI


Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ambaye alizushiwa kusimamishwa kazi hivi naClouds Media Group karibuni.
B12 amesema yeye Diva na Adam Mchomvu  hawajasimamishwa kazi ila wapo likizo na watarudi kuendelea na kazi ya utangazaji pamoja na  Clouds Media Group. Akiongea na mdau mkubwa wa Clouds Fm Petter Isuti Mioyo Alisema huo ndo ukweli  "sijasimamishwa kazi ila nipo likizo".

PICHA ZA ALLYKIBA NA MPENZI WAKE ZATIAFORA MTANDAONI

6fc7835a7b8f11e391d012f99f952f1f_8

Ally Kiba anaweza kuwa hasikiki sana kwenye redio miaka ya hivi karibuni na humsikii akilalamika. Huenda mrembo huyu anaweza kuwa sehemu muhimu katika moyo wake na hivyo kumfanya azisahau stress za mainstream (kwa sauti ya Godzilla aka Zizi).
 
Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake na Redsan, amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna shaka kuwa ni ubavu wake wa pili.
Mmmh.. yummy!!

WIZ KHALIFA ABADILI MUONEKANO WAKE NA KUFANANA NA AMBER ROSE {mkewe}



                                                          Wiz khalifa na amber rose
Wiz  kalifa namuonekano kama wa amber rose
Star couple ya mwanamuziki maarufu duniani Wiz Khalifa na mwana mitindo mrembo na maarufu duniani Amberose wametoa kali kwa moja wao ambae ni Wiz kuamua kupambwa na kuwa na muonekano unaofanana  mkewake Amber rose nakwenda kupigwa picha katika moja ya red carpet ya event alizo huzuria karibuni....