PENNY AONYEHSA UPENDO MKUBWA KATIKA HAPPY BIRTH DAY YA HUYU C.E.O JIONEE MWENYEWe

PENNY huyo akishow love na Eli ulomi

kata keki tuleee!! hii ndio picha ya keki iliopigwa kwambaali

Eli ulomi ,Vannesa Mdee na Bob Jounior {kazini}
Moja wa cameraman wanofanya poa sana nchini ,na mwanzilishi wa EJ Fashion Model agence anaejulikana kwa jina Eli Ulomi,anasherekea siku yake yakuzaliwa leo january 25 ,iliopambwa na upendo alio uonyesha mtangazi wa tv aitwae Penny {shemeji yetu wazamani kwa diamond } hakika imependeza ...
more photo click here www.facebook.com/EJFashionMedia

TUTAKIANE USIKUMWEMA KWAKU TAZAMA PICHA ZA WEMA NA ZITO KABWE WAKIYARUDI MAGOMA{O distance}

 
hawa hapa msani Wema sepetu na Mh mbunge Zito Kawe ,,,,,yan apo pakachini,mpakachini!!

yan bata mwanzo mwisho aaah mtoto wema sepetu wee .... mahabati kwa mbaaaaali!!

MWaaaah!! TAZAMA PICHA ZAIDI YA 15 ZA HAWA MODELS .....18+..Plz


                                                          Jokate ...mwaaah






                                                               













Kampuni kubwa zinazo husika na wanamotindo{model}zinazo julikana kwajina la EJ FASHION na FASHION for PASHION zilizopo nchini tanzania zinaendelea na project tofauti na wanamitindo wao mbalimbalii na hii ni outdoor ya models wao...
Project kubwa inayo fanyika sasa ni maandalizi ya kipindi cha tv {models tv show}
KUJIUNGA NASI CALL : O659 -469-287 au 071-597-8886

HIZI NDIO PICHA 10 ZA SERENA WILLIAM ZILIZOZUA UTATA MTANDAONI




Mcheza tenis maarufu duniani anaejulikana kwajina la Serena William ameshiriki katika kupiga picha za nusu uchi kwajili ya gazeti kubwa humo nchini Austarian 

TUTAKIANE USIKU MWEMA KWA KUTAZAMA PICHA ZA DIAMOND NA WEMA NDANI YA SHUKAMOJA



hahahah ni diamond na wema hao .....wacha muvi iendelee!!
yenu hii

MARTIN KADINDA NA JACLINE PATRICK SIO SIRI TENA JIONEE PICHA 10 HAPA



coming soon


Mbunifu wa mavazi  Martin Kadinda akiwa pamoja na Jack patrick wakila bata katika moja ya hotel za kifahari,imeonyesha kuwa Jack na Martin kuwa wapo karibusana na furaha baada ya mwana dada huyo kupitia majanga kibao....hivyo sio siri tenauwepo wa furaha kati ya jack na martin ....



HAYA NDIO MAPOZI YA FUMANIZI YA MASOGANGE NA JACK CLIFF


   pozi la fumanizi akiwa anakumbuka kitu kwa makini >>>>Jack cliff

              poz la fumanizi la akiwa anashangaa kidogo kitu kwenye simu yake>>Masogange
coming soon!!

NI skelewuu!! TAZAMA PICHA ZA DAVIDO NA HUTU MWANADADA KUTOKA BONGO

https://www.facebook.com/theclicktz
coming soon!!
Msanii maarufu wa muziki wakizazi kipya ajulikane kwajina la davido tika nchini Nigeria anaetamba na kibao chake cha SKELEWU,hivi ndivyo alivyo pigwa picha na mwana dada huyu anaedaiwa kuwa mwigizajiwa bongo wakiwa katika pozi la mahaba ....

NIKISANGA!! ALLY REMTULLAH ATIAMDOMONI UUMEE JIONEE MWENYEWE


Huyu hapa mbunifu maarufu wa mavazi Ally Remtullah akila kipande cha keki  cha mfano wa uume wa mwanaume ,keki hiyo iliotengenezwa mfano wa mwili wa mwanaume kasoro miguu na kichwa ,katika happy birth day yake...

PICHAZ...MISS TANZANIA 2012 LISA JENSEN AKIWA NA KICHANGA CHAKE....MZURI KAMA MAMA'KE NIAJE...!JIONEE MWENYEWE HAPA...

MODEL JOIN  US CALL 0659469287


                                   mama na mwana !! LISA JENSEN NA MWANAE

PENDEZAAAAAAA!!