TAZAMA PICHA ZA MUONEKANO WA WEMA SEPETU VALENTINE DAY



                                            mmmh mitupio ya madini na vezi lekundu

  Jinsi wema sepetu kwa kumechisha....

                        mwonekano wa wema valentine majira ya asubuhii
ENdelee kutembelea blog hii network inasumbua tunaweka picha zinhine zake...

LADY IN RED 2014 YAVUNJA REKODI YA SHOW ZOTE SIKU YA VELENTINE tazama"

Mama wa Mitindo Nchini Tanzania Bi.Asia Idarous akifanya Interview na Kipindi Bora cha Urembo na Fashion"NIRVANA" Afrika Mashariki kinachorushwa EATV.
 Bi.Asia Idarous akiwa kwenye Red Capert tayari kwa Kupata Ukodak na Interview kutoka kwenye Media Mbalimbali.
 
Mama wa Mitindo Nchini Tanzania,Bi.Asia  akiwa kwenye Ukodak na Mwanamama Maria Sarungi Kwenye Usiku wa Lady In Red ya Kutimiza Miaka 10 ya Kufanya Fashion.
 Mama wa Mitindo Nchini Tanzania Bi.Asia akitoa pongezi za dhati kwa Wadau mbalimbali waliojitokeza Kufanikisha kazi hii ya Kutimiza miaka 10 ya Lady In Red Fashion Show Nchini Tanzania.

Mrembo akipita mbele ya Jukwaa wakati wa Ufunguzi wa Shughuli yote ya Usiku wa Miaka 10 ya

PICHA ZA KUFURU YA HAPPYBIRTH DAY PARTY YA CRISTIANO RONALDO







Mchezaji bora duniani wa mbira wamiguu raia wa ureno anae chezea club ya timu ya mpira itwayo real madrid amesherekea siku yake ya kuzaliwa hivyo,,,,,kula ujana maisha yenyewe sio miaka elfu moja.
                                              AMETIMIZA MIAKA 29 leo  feb 11 mwaka 2014


TAZAMA PICHA ZA KUTOSHA ZA UPENDO MLAY TISHIO LA JOKATE MWEGELO


                         Pozi za kufamtu yani pozi nzuri sana


                                  apo anafanyiwa makeup huku anaoneka baada ya make up


                                             akiwa jukwaani sasa....nishidar

                                            je ni photogenic jibu hili hapa ....she is photogenic


Mwanamitindo anaye fanya poa sana afrika mashariki kwasasa anaejulikana kwa jina la Upendo Mlayi,ameonesha  kuwa na ujio mkubwa sana kwakuwa na project nyingi,hukuakiwa ana afaakila idara ndani ya tasnia hiyo ya mitindo,hivyo kuwafunika wanamitindo maarufu akiwemo Joketi mwegelo...
                                    more photo click hapa https://www.facebook.com/EjFashionMedia