DJ FETTY AGAMBEKA HUKU AKIWA NDANI YA POZ LA KIMAHABA NA JUNIOR

DJ Fetty na junior
Mtangazaji na Dj anaefanya kazi clouds media group aonekana katika pozi laukaribu akiwa ameshikwa kifua na  jaama anaefamika kwajina la  junior huku akigambeka.......
nice week end 

KAMA ULI MISS KUONA PICHA ZA KARIBU ZA LULU NA VAN VICKER HIZI HAPA

1d
                          lulu na mnaiGeger .....waigizaji hao
         BOFYA HAPA KUtazama nyingine nyingi click hapa
EJ Fashion & Media

YAMEJIRI MENGI VYUONI ILA HILI Dar es salaam school of jornalism DSJ LIMETIA FORA

anderson dickson karibu kabisa na zubeda{walimu wa models}

                                            all the way to location........for photoshoot
                               diwani akimalizia onekana mwishoni mwakundi la washiriki

















 Dar es salaam school of jornalism DSJ chuo kikubwa chenye kutoa wandishi wa habari wengi maarufu Fatuma nyangasa wa Itv ,Jeri Muro wa Itv na wengine wengi kimekuwa ,pia kimekuwa kinatoa wanamitindo wakubwa sasa Tanzania mfano Zubeda diva ambaye ameweza towa taji la Miss tanga.Shindano la mr &mrs Dsj wanamitindo ndipo huibukia nakushika chat sehemu mbalimbali za mashindano ya tasinia ya mitindo na hizo hapo juu ndio picha za washiriki wa shindano hili mwaka huu 2014 baada yakufanyiwa photoshoot na kampuni ya EJ FASHION & MEDIA....



TAZAMA PICHA ZA KUTOSHA ZA USIKU WA KIGODORO{bongo movie} DAR LIVE FULL UTAMU


      HAaa!! shilole unahatari wewe......bongo movie waki mshangilia shilole akikatika


Pichani juu ni baadhi ya taswira za Red Carpet ya Usiku wa Kigodoro ndani ya ukumbi wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakheem, jijini Dar es Salaam.

 kiruuu! shishi beiby .....akimwaga maunoo mpaka mtandio unaangukaa