HISASA NOMA,RAISI WA MALAWI KUMPIGIA MAGOTI RAISI KIKWETE


picha hii inaonyesha rahisi wa nchi jirani inayo ongozwa na raisi Joyce Banda akiwa amepiga magotimbele ya rahisi wa Tanzania Raisi Jakaya Kikwete ni ishara ya heshima na upendo tu kwa rahisi tokwa kwake juu ya raisi wa Tanzania

WEEK END HIYOO.....TAZAMA PICHA ZA DIAMOND NA LULU BATANI

Lulu  na diamond  kwapamoja pendezaa
Wasanii wakubwa katika tasinia za sanaa mbili kubwa ambazo ni muziki na filamu wanaojulikana kwa majina Lulu na Diamond waonekana katika picha ya pamoja wakiwa katika moja ya bata {starehe} hapa town

JOKATE NDANI YA SHELA AACHA WATU MIDOMO WAZI {PICHA 20}

jokate in photoshoot..........EJ fashion  & MEDIA
ndani ya vazi la shela.






SHOGA ANAEJIITA ANTI SUZY BAADA YA KUTOKA CLOUDS AVAMIWA NA KUPEWA KICHAPO NUSU YA KUFA

 
BAADA ya shoga maarufu jijini Dar es Salaam, Ibrahimu
Mohamed ‘Anti Suzy’ (25), kutoboa siri kwenye vyombo vya habari jinsi watoto wa kiume
wanavyoharibiwa na wanaume na kueleza namna alivyobwagiwa mtoto wa mwaka amtunze,