TAZAMA PICHA ZA WEMA SEPETU AKIONYEHA MAPENZI YAKE KWA MBWA {18+}



                                                              waoooooo popi!!

MASHABIKI WA MSHAMBULIA LULU INSTAGRAM KUSIANA NA COPY AND PASTE ...PATAMU HAPO



asaa machache tu baada ya lulu kupost mwonekano wa mbele wa jarida la VIBE utavyoonekana,  Watu wengi wameanza kumshambulia kwa kuiga pozi la Rihana alilotumia katika Jarida GQ mwaka jana. WEngi wamelalamika na kusema kua amejishusha sana na uchafua sifa ya gazei hilo kwa kucopy na kupaste.

Baada ya taarifa hizo kumfikia lulu alikua na haya ya kusema. "Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo...!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa...!hapa kilichofanana ni idea only not otherwise...!n ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti....majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo....nimejaribu kuiweka clear mana watu mpk vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe...!tuachane na hayo ila dada @badgalriri dah nimekukimbiza kwa mbali heheheh.... @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri ��������nione basi������....haya namalizia Kama bdo hutaki kukubaliana na maelezo yangu njia hii apa������������������������������������������������������������������Haina mafuriko,madimbwi wala foleni....kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!��Nawapenda lkn��"

HEMED PHD AMUANIKA MKE WAKE MTARAJIWA MTANDAONI...TAZAMA






                  SOURCE: BOngo Clan

PICHA ZA MODEL HAMISA MABETO SNAKE ON SEXBODY NDANI YA PHOTOSHOOT YAKE MPYA


                                      huu ndio ubunifu na ujasiri....big up Hamisa mabeto

PICHA ZA PAUL{PSQURE} MA MREMBO KATIKA PHOTOSHOOT NI KUFURU


                                          mmh picha za photoshoot hiyo z

DR JOSE CHAMELEONE AMEANIKA UTAJIRIWAKE MMMH JIONEE

Mkali wa nyimbo ya Tubonge kutoka Uganda, Jose Chameleone ambaye ni mmoja kati ya wanamuziki wa Afrika anayetajwa kuwa ana utajiri mkubwa sana, ameonyesha jeuri ya pesa kwa kuzihesabu kwa kutumia mashine.
Kwenye hii picha Jose Chameleone anaonekana akitumia mashine ya kuhesabia pesa akizihesabu dola mia za kimareakani zikiwa kwenye mafungu makubwa ndani ya begi.

Zaidi ya pesa hizo pia Chameleone anamiliki nyumba ya kifahari, magari kamaEscalade na mengine pamoja na vitega uchumi.


  Chameleone kama anavyojiita, Dr Mayanja anapata kiasi kikubwa cha pesa kwa kufanya matamasha sehemu mbalimbali duniani pamoja na kuandaa yake binafsi.
Kama wiki hii ameandaa tamasha kubwa ambalo amelipa jina la Tubonge East African concert linalotegemewa kushirikisha wasanii wa africa mashariki na hadi sasa limeshadhaminiwa na makapuni makubwa ya Uganda.

KAMA ULIMIS KUTAZAMA PICHA YA DIAMOND KUVAA WIGI LA WEMA TAZAMA HAPA


                                               hii kitu ni shauri ya mapenzi au ustar??
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI

JACkLINE WOLPER NA MISS TANZANIA WAGOMBANIA BWANA HUYU HAPA

KUCHAMBANA, kutoleana lugha chafu ndiyo ishu iliyopo kwa sasa kati ya nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011 iliyomtoa mlimbwende Salha Israel, Husna Maulid kufuatia madai kwamba, wanamgombea mwanamume Mkongo aliyejulikana kwa jina moja la Mwami.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Husna ndiye aliyeanza kuwa na uhusiano na Mkongo huyo mwaka jana na kila anapofika nchini hutanua naye kwenye ‘viwanja’ mbalimbali.
“Husna ndiye mwenye mwanaume, akija Bongo wako wote, lakini hivi karibuni ghafla tu, jamaa kaja na kuwa na Wolper, Husna kapigwa chini, sijui Wolper alimpatia wapi?” kilisema chanzo hicho.
Jumamosi iliyopita, Uwazi lilimtafuta Husna na kumuuliza kuhusu madai hayo ambapo alifunguka kwa kusema:
“Ni kweli kabisa, Wolper amenichukulia mwanaume wangu. Mi nimemshangaa sana. Halafu eti ananitumia meseji za ajabu ajabu mimi, eti anasema hajanichukulia bali ni bwana ‘ake siku nyingi (huku akionesha meseji hizo).

Baadhi ya meseji hizo zinaonesha Husna akijibu mapigo upande wa pili huku akishambulia kwa maneno makali kufuatia madai kwamba anatembea na Mkongo wake.
“Jana (Ijumaa) alikwenda naye hoteli…(anaitaja jina) iliyopo Masaki (Dar), wakala chakula kisha wakaenda kulala hoteli… (pia anaitaja jina). Mimi najua kila kitu,” alisema Husna akionesha hasira.
Kwa mujibu wa Husna, awali siku hiyo alitaka kwenda kumfumania Wolper na Mkongo huyo kwenye hoteli waliyokuwa wakila chakula lakini machale kama yalimcheza wakaondoka.
Baada ya kuzungumza ana kwa ana na Husna, Uwazi lilimsaka Wolper kwa njia ya simu ili kumuuliza lakini hakupokea. Wakati mwingine simu yake ilipopigwa ilionekana kuwa bize.

Hata hivyo, ili kumpa nafasi zaidi ya kujieleza, Wolper alitumiwa meseji saa 5:05 asubuhi ikiwa na mashitaka yote ambapo ‘ilideliva’ kwenye simu yake, lakini pia hakuijibu mpaka saa 10:13 jioni wakati gazeti hili linakwenda mitamboni.

AGENES MASOGANGE AJIBANDIKA TATTOO KARIBU MWILI MZIMA TAZAMA HAPA


                                                             MMh

PICHA ZA KUTOSHA ZA HAPPY BIRTH DAY PARTY YA JOKATE 2014 ILI NOGA SANA


10


12Tarehe 20 March 2014 ilikua siku ambayo Mwanamitindona mtangazaji wa TV Jokate Mwegelo alipokua akisherehekea maazimisho ya siku yake ya kuzaliwa.