
Majira ya saa asubuhi hii ya leo helikopta ya survey ya hali ya jiji ilio kuwa imebeba
viongozi wa nchi hawa
Makamu wa Rais Dk. Bilal, Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli yapata ajali ikiwa inaanzaa kupaaa

zima moto wai wahi Helkopta kwa kuimwagia maji

picha ya karibu ya ajali hiyooo
SHUKA NA PICHA ZA HALI YA ILIVYO HUKO RUVU
chini hapo