PICHA ZA UZINDUZI WA MISS IFM 2014 ILIVYOKUWA HIZI HAPA

Image00010March 28 IFM imefanyika party ya uzinduzi wa Miss Ifm 2014 ambapo kulingana na umaarufu wa washiriki hao kutoka chuo cha Ifm hupelekea kutoa washiriki kwenda ngazi ya Miss Tanzania ambao hutengeneza rekodi nzuri kwenye mashindano hayo.
Image00004Uzinduzi huu ulihudhuriwa pia na Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashim Lundenga,Martin Kadinda na Nickson George ‘Lugha Kali’ kutoka Clouds Tv ambaye ndiye alikua muongozaji wa shughuli hiyo ambayo ilisindikizwa na burudani toka kwa Mirror wa Endeless Fame.
Hizi ni baadhi ya picha.
Image00001
Image00002
Image00003
Image00005

Image00008
Image00009
Image00012
Image00013
Image00014
Image00017
Image00018
Image00019

Image00054
Image00023
Image00011
Image00066
Image00068
Image00069
Image00070
Image00064
Image00062
Image00061
Image00060
Image00055
Image00058
Image00037
Image00038
Image00051
Image00052
Image00036

Image00024
Image00023
Image00016
Image00017
Image00018
Image00019
Image00013
Image00012
Image00011
Image00010
Image00009
Image00008
Image00007
Image00005
Image00004
Image00003

LEO NDIO LEO FAINAL NDIO ZINAFANYIKA 9/5/2014 STAY TUNE HAPA HAPA FOR EVENT UPDATES

PICHA 10 ZA MAABUSU WALIOAMUA KUBAKI UCHI IKIWA NI NJIA YA KUDAI HAKI ZAO

Inspector Henry akiwasihi mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, kuachia mlingoti wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chumba cha mahakama kwaajiri ya taratibu za kesi.
*********
Matukio ya ajabu yanayofanywa na mahabusu wanaoshinikiza kesi zao kusikilizwa haraka ikiwa ni mbinu wanazoamini zitasaidia katika kile wanachoeleza kuwa ni kudai haki zao yanaendelea kuonekana ambapo jana mahabusu jijini Mwanza walifanya tukio la aina yake.
Mahabusu wawili kati ya sita wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji jana walijaribu kutoroka kutoka kwenye mstari wa utaratibu wa kuingia mahakamani na kisha kung’ang’ania mlingoti wa bendera ya Taifa huku mmoja wao akivua nguo zote na kubaki mtupu.
Tukio hilo lilitokea majira ya saa nne asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza.
Thobias Warioba, mmoja kati ya mahabusu hao ndiye aliyevua nguo zote na kubaki mtupu na kisha kupiga kelele akiwa ameshikilia mlingoti akieleza kilio chake.
“Haiwezekani tangu mwaka 2011 tulipokamatwa hadi sasa kesi zetu hazijasikilizwa. Wengine tumebambikiwa kesi. 

"Tunaomba haki zetu, polisi wanatuonea, vyombo vya habari tunaomba mtusaidie tumekaa muda mrefu bila kusikilizwa na hatujui hatma yetu tangu mwaka 2011tulipokamatwa.

"Tumechoka kukaa mahabusu, tunaomba kesi zetu zisikilizwe.”Alisema Thobias Warioba.
Inspector wa polisi alijitambulisha kwa jina la Henry aliwataka watuhumiwa hao waondoke katika mlingoti na kuvaa nguo ili waingie mahakamani kwani kitendo walichokuwa wakikkifanya ni kosa la jinai..
“Pamoja na maamuzi yenu haya, lakini mtambue mnavunja sheria na hili ni kosa jingine la jinai, hivyo ni vyema mkaondoka kwenye mlingoti huu na kuingia mahakamani. Malalamiko yenu tumeyasikia na yatashughulikiwa.” Alisema Inspecta Henry.
 Askari polisi wakiwalinda mahabusu wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji
 Inspector Henry (shati la bahari) akiwa na Inspector Veda (mwenye koti) wakisikiliza hoja za Thobiasi Warioba (35), aliyeamua kuvua nguo zote na kubaki mtupu akiwa ameng’ang’ania mlingoti wa Bendera ya Taifa
 Ushawishi ukiendelea
 Mahabusu Thobiasi Warioba (aliye mtupu) pamoja na mwenzake Hamis Ramadhani katu katu waking’ang’ania mlingoti wa bendera ya Taifa huku wakishinikiza kuzungumza na waandishi wa Habari.
 Baada ya kuzungumza na waandishi wa habari mahabusu hao walikubali kurejea chumba cha Mahakama.
 Mashuhuda
 
Nae mmoja wa maafisa wa mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza ambaye hakutaka jina lake litajwe, alieleza kuwa ushahidi wa kesi za watuhumiwa hao bado haujakamilika na kwamba kesi zao haziwezi kusikilizwa na mahakama ya Wilaya kwani haina uwezo, na badala yake zitaendelea kutajwa tu kisha zitahamishiwa Mahakama Kuu