BIBI WA MIAKA 63 AKAMATWA NA ZAIDI KILO 6 AIRPORT CHEKI MKANDA MZIMA HAPA

Bibi Kizee akamatwa na madawa ya kulevya Airport ya Brazil jana rio de janairo
PICHA;HIZI NDIO MODELS AGENCE ZINAZOFANYA POA ZAIDI NCHINI TANZANIA 2013|2014
POST HII NI KWA HISANI YA REDDS TZ & EJ FASHION & MEDIA

model picha kali toka the face


picha ya pili kutoka Ej Fashion & media


picha ya pili kali toka kwa model toka wandaz lab

picha kali toka kaz studio

maridadi model agence

picha kali toka model wa fashion for pashion agence

picha kali toka light studio models agence

model picha kali toka the face


picha ya pili kutoka Ej Fashion & media


picha ya pili kali toka kwa model toka wandaz lab

picha kali toka kaz studio

maridadi model agence

picha kali toka model wa fashion for pashion agence

picha kali toka light studio models agence
RECHO APANDA STAGE NA CHUPI NDANI YA SHOW YA CHUO USTAWI TAZAMA SOKOMOKO LAKE HAPA
Ishu hiyo ya aibu ilijiri kwenye Ukumbi wa Sun Ciro uliopo Ubungo, Dar ambapo kulikuwa na kinyang’anyiro cha kumsaka mlimbwende wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kilichopo Dar huku Recho akiwa mtumbuizaji.
AGNES MASOGANGE NO. 2 NA 1 NI CORAZON KWAMBOKA MODEL KUTOKA KENYA KWA HOT POZI
Endelea kushuka nazo picha za model toka kenya corazon kwamboka,ambae amekua akionekana kuigwa na kupendwa sana na model toka tanzania Agnes Masogange
KHA! AVULIWA NGUO ZOTE NAKUFANYWA VIBAYA LIVE BAADA YA KUMCHANA MWENZIE NA WEMBE
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZIFUATAZO KWAKUWA ZIPO NJEE YA MAADILI ......18+
Wanasema kuwa hii imetokea katika jimbo la Benue ambapo wasichana wawili walikuwa wanapigana kwa ajili ya sugar daddy. Lakini chanzo kingine kinadai kuwa, siyo kweli kwamba wasichana hao walipigana kwa ajili ya mapenzi bali kwa sababu mmoja wao alimuita mama wa mwenzake kuwa ni kahaba.
Kwa kuonesha kukerwa kwake na kauli hiyo, msichana mmoja aliamua kumkata mwenzake usoni kwa kutumia wembe mkali. Inaelezwa kuwa watu waliokuwa wanapita eneo la tukio na kushuhudia namna msichana huyo alivyokatwa na mwenzake, walimuamuru msichana mkataji kuvua nguo zake ili aadhibiwe kwa kosa lake.
BIRTHDAY YA MBONI MASIMBI WA MBONISHOW NI KUFURU EBU TAZAMA HAPA

Yaliyojiri kwenye birthday dinner party ya MBONIE MASIMBA (@thembonishow) pale RHAPSODY’S VIVA TOWER