Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa karibu wakiwemo mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha Chris Brown tangu atoke jela.
TAZAMA PICHA ZA RIHANNA NA MASTAR KIBAO NDANI KUFURU, PARTY YA CRISS BROWN KUTOKA JELA
Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa karibu wakiwemo mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha Chris Brown tangu atoke jela.
MISS PHOTOGENIC UBUNGO 2014 YA STAAJABISHA DUNIA YA ULIMBWENDE TANZANIA JIONEE MWENYEWE
VJ PENNY EX-GIRLFRIEND WA DIAMOND YU MAHUTUTI HOSPITALI. SOMA HAPA

Ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.
AL SHABAAB:RAISI WA KENYA ULINZI WAKE MKALI, ANALINDWA KAMA PAPA VILE. JIONEE MWENYEWE
DIVA WA CLOUDS FM AJIANIKA KABISA KATIKA ,WAUWE VIDEO YA CHEGE NA TEMBA JIONEE
Mwanadada, Mrembo, Muimbaji,Mtangazaji wa Clouds FM, DIVA THE BAWSE kwa mara ya kwanza ataonekana kwenye VIDEO ya nyimbo ya Waue ilioimbwa na Chege na Temba chini ya Mkubwa Fella.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM mwanadada huyo aliweka picha akiwa yupo LOKESHENI waki SHUT video hiyo...
Diva aliandika hivi:
wauwe location .. Video @chegechigunda Nitaonekana Katika Video ya Chege ..... and am so Excited ������
Kwaupandewake Chege aliandika hivi:
#wauwepart2 na @divathebawse ndani @mhtemba @mkubwafella@maromboso #wauwe