JOKETI AACHA WATU MIDOMO WAZI KWALICHO KIPOST KUHUSU C.RONALDO,SOMA HAPA

ronaldo copyMichuano ya kombe la dunia imeendelea kuonyesha ukubwa wake kwa kuteka kila habari kuu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, mabilioni ya watu duniani kote wakiwemo mastaa wakubwa wa kitaifa na kimataifa  wanafuatilia michuano hii ambayo ndio mikubwa kabisa katika soka duniani. 

KUMBE HIKI NDICHO KILICHOMFANYA WEMA KUNYOA UPARA.

Kumbe hiki ndicho kilichomfanya Wema kunyoa upara.