
JINA
lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa
Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa
akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni
mchujo wa models ulianza hivi huku N0.1 2013 -2014 Tanzania top modelAakifanya yake |
nyomi la models wakike kwa wakiume wakisubiri kwa hamu audition ianze |
hapo sasaa models on pozi kwelekea kwa majaji |
model haki akiki uwepo wake ili kupata namber ya ushiriki kutoka kwa codinetor Jay model |
palikuwa patamu hapo moja ya meza ya models wakisubiri matokeo ya usahili |
Majaji kazi walikua nayo..Vichwa vyaumaa |
Mmoja wa models walio tishaa sana na kusisimuwa majaji ] |
Model wakiume nao hawakuwa nyuma kuonesha manjonjo yao |
big man himself.......cameraman |