KUMEKUCHA MISS TZ WAREMBO WA UWASHA MOTO GYM
MISS UNIVERSE 2014 AUDITION IN DAR
Shindano kubwa Tzee linalo wakutanisha Walibwende wa Mikoa kadhaa ambapo wameweza kuchukua Warembo mikoa kadhaa ila wameunganisha mikoa ambapo mikoaa amabo wanyanda ya juuUsahili ulifanyika Mbeya na Arusha . Bk Cop tulipiga story na Moja katiaya Majai wa Usahili huo Seif Kabelele alifunguka kuhusu usahilihuo .
WASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Ibrahim Kassim akiwapa maelezo warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 juu ya sifa kuu za hifadhi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Kaimu Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro, Apaikunda Mungure akiwagawia vipeperushi vilivyo na taarifa mbalimbali za hifadhi hiyo warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 waliotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 wakiwa Camp ya Mbuyu iliyopo katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana walipotembelea hifadhi hiyo ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.