ANGALIA KILICHOMKUTA DAVIDO BAADA YA KUTEGWA NA MREMBO WA KIKENYA


Msani huyo mkubwa ajulikanae kwa jina la Davido anaetamba na ngoma yake kibao ikiwemo skeleuwu,aonekana akiwa jogoo amewika baada ya kupiga picha za mitego na mrembo kutoka kenya vve beiby....wakatupia wenywe mtandaoni

MWANAFUNZI AJICHOMA KISU BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE {2013] KUTOKA


Kijana ambae jina lake halija famika mpaka sasa,aneishi mwnanyamala dar es salaam anae semekana kuwa ni mwanafunzi ambae limaliza kidato cha nne mwaka jana yan elfu 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya kidato cha nne,matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwakupta ziro

LULU MICHAEL APEWA DILI LAKUFURU NA KAMPUNI YA ZUKU

Photo
Msanii Elizabeth Michael Michael maarufu kwa jina la LULU apost picha akiwa ameshika cheti cha  kuwa balozi wa kampuni kubwa ya digital inayofamika hasa kwa kuwa navingamuzi vya digital.....
lulu sasa ni balozi wa zuku products hasa vingamuzi vya zuku na zuku tv .

MATOKEO YA KIDATO CHA 4 {2013} YATOKA ,NIKISANGA TAZAMA HAPA


Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 na kiwango cha ufaulu Kimeongezeka kwa asilimia kati ya 0.61 na 16.72 ukilinganisha na mwaka 2012. 

Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu.  

Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.

Wavulanawaliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549 
Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561

Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561. 
Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113.

Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987. 
Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950.
KUTAZMA MATOKEO BINAFSI 
CLICK HAPO CHINI

fMATOKEO CSEE 2013

........hongera toka ejfashion kwako uliefaulu..........

ZAMARADI MTETEMA NA JOTI NDANI YA POZI ZA KUKUACHA MDOMO WAZI




Hapo JOTI akionesha hairstyle yake ya sikuhizi..
Vinywele juu...
pamoja na kwamba nimemzoea lakini saa nyingine huwa nashindwa kujizuia kucheka...
Hahaa haaa.. pozi la picha lilianza hivi..
Mara akanitolea ulimi nje
Ghafla akabadilisha hali ikawa kama hivyo


Mara hee...
Ukatuni unaendelea...

INSTAGRAM KIMENUKA KWA MASOGANGE NA WOLPER WAPEWA MAKAVU LIVE


Mtandao wa Instagram umekuwa ndio uwanja wa kuchambana hasa kwa hawa mastaa embu jionee huyo alivyowapa live live Agness Masogange na Jackline Wolper 



PICHA ZA MH MENGI NA MKEWE KEILIN NDANI YA MABAHA HUKO NCHINI MAREKANI


                                        loading.........network inasumbua endelea kutembelea blog hii
                                                               picha kibao zinakuja

DIAMOND ATIKISA HUKO SOUTH AFRIKA TAZMA PICHA HAPA

Diamond & Yvonne Chakachaka

 D'banj & Diamond

Diamond with VJ Adam

HAMISA HAJAWAHI TIWA!! ,NIMANENO YALIOPOSTIWA NA MCHUMBA WA PREZO MTANDAONI


                                    icho ndicho kilichoandakwa humo

                                           huyo apo ndio chagabeibe na mpenziwe prezo



PENNY ADAIWA KUTUMIA BANGI ILI KUJIEPUSHA NA MSONGO WA MAWAZO YA MAPENZI


              penny na rafiki yake batani na sigara mkononi

                  penny mtangazaji wa dtv na alikuwa mchumba wa diamond plutinums