HAWA HAPA WATU MAALUM WALIO TUNUKIWA TUZO NA NISHANI ZA MUNGANO NA RAISI KIKWETE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo ametunuku nishani na Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka Hamsini(50).
 
Mama Maria Nyerere akipokea nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Mama Maria Nyerere Nishani ya Kumbukumbu
ya miaka 50 ya Muungnao Daraja nne.

 
Mama Fatma Karume akipokea Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Abeid Aman Karume Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa kwanza wa
Baraza la Mapinduzi. 
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Mama Fatma Karume nishani ya kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja Nne wakati wa hafla ya kutunuku nishani na tuzo za miaka 50 Muungano zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano ikulu jijini Dar es Salaam jana usiku.

 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Mh.Benjamin WilliamMkapa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) wakati

HUDDAH APIGA PICHA ZA UCHI NA BENDERA YA KENYA NA KUZUA BALAA


                                         Huddah akiwa uchi aionyesha bendera ya kenya ikimziriba
Picha hii imezua balaaa mtandaoni baada ya watu wengi kutafsiri kuwa huddah  amei dhalilisha bendera ya kenya na amewazalilisha wakenya na nchi kwaujumlaa kwakuwa yeye aameonekana uchiii...

WEMA SEPETU AIBUKA THE SEXTEST GIRL KATIKA TUZO ZA Ijumaa sexiest girl’ SHUKA HAPA UPATE TUKIOZIMA


post April 21, 2014.


dddddddddddddddddddddMwigizaji Wema Sepetu ameshinda shindano la Ijumaa sexiest girl ambalo liliandaliwa na Global Publishers na kushirikisha watu maarufu kama Lulu, Jokate, Nelly Kamwelu na Jackline Wolper.