
UNAAMBIWA KWA PICHA HIZI LAZIMA DAVIDO ATARUDI KWA X-GIRLFRIEND WAKE

TAZAMA VIDEO YA WEMA SEPETU AKIJIACHIA NA PETIMANI HUKU AKIIMBAA WIMBO WA DIMPOZ ,NI Shidaar
Madame mwenye TEAM kubwa zaidi ya MAFANZI aka TEAMWEMA(Unaweza kuwaita Wapambe, Mashabiki, nk), haipiti siku bila kuokea kwenye magazeti ya UDAKU na blogu kama hii (Kwamazuzi au mabaya), Huyu sio mwingine ni MPENDWA wetu WEMA SEPETU...hahahaaha!!
Kupitia Ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi Video Clip fupi akiwa ndani ya gari anaimba na kucheza windo wa msanii Ommy Dimpoz....Ndagushima. Hayupo pekeyake yupo na mfanya kazi wake PETIMANI WAKUACHE!!! Jionee mwenyewe!!!PLAY
AGNES MASOGANGE ACHAFUA HALI YA HEWA INSTA HUKU DIAMOND KUHUSISHWA KWENYE HILI...TAZAMA
kufuatilia TRENDs za Agnes Masogange kwenye mtandao wa INSTAGRAM.
Kama mnavyojua dada yetu MASOGANGE kwa muda sasa yupo nchini SAUZI na amekuwa sio mchoyo wa PICHA zake, wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM
Sasa mimi sijajua SAUZI anafanya nini...(Kwa bongo hapa huwa anajishughulisha na kazi ya u-VIDEO KWINI)
Kupitia kile anachoweka huko INSTAGRAM hatimaye imedhihilika wazi kwa jamaa hapo pichani anaitwa Louis Dolnard.... ndio mpango mzima kwa dada yetu...TEMBEA NAMI:
Picha ya kwanza ya huyu jamaa alipost miezi miwili iliyopita!!!
Wambea tukapotezea!!! Dah
Wiki iliyopita alitupia tena picha ya huyu jamaa bila kuandika chochote ......washambenga tukahisi kuna....MAUMIVU NIACHE ....MAHABA NIKUMBATIE hapa....hahahahahaha!!!!
Na kweli toka jana usiku fujo ikaanza huko INSTAGRAM..Masogange aliweka picha hapo chini na kuandika"Mtoto si unanielewa, in diamond voice" punde jamaa nae akaposti the same picha na kuandika "With my Everything"
HII NDIO MAHABA NIUWE....BWANA WA SHILOLE AJICHORA TATTOO KWAJILI YA SHILOLE ITAZAME HAPA
hahaha mahaba niuweee! baadaya ya picha hiyo maneno hayo hapo chini yaliandikwa na shilolee..Instagram
DAH KUMBE MCHINA MUDA MWINGINE ANASINGIZIWA TAZAMA HAPA LIVE MCHEZO MZIMA WA BAADHI YA DADA ZETU

KUMBE NI MAMBO YA FASHION NA SIO MADAWA YA MCHINA
TAZAMA HAPA VIDEO YA PERFORMANCE YA DIAMOND NA DAVIDO KWENYE MTV MAMA FINALS 2014

HII NI RECORD KWETU WATANZANIA NA DUNIA NZIMA..
NENO LA KWANZA MTANDAONI TOKA KWA DIAMOND BAADA YA KUTOKUFANIKIWA KUCHUKUWA TUZO ZA MTV MAMA
Furaha tuliyokuwa nayo Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana kutoka nyumbani Tanzania kuwa ni miongoni mwa vijana wanaochuana kwenye tuzo hizo tena akiwa vipengele viwili,ingawa bahati haikua njema kwa Diamond kwani hakufanikiwa kupata.
Diamond Platnumz alikuwa pia ni moja kati ya watumbuizaji wa ugawaji wa tuzo hizi,ambapo kwa namna alivyoingia kwenye jukwaa na Davido ilimfurahisha kila mtu aliyekuepo ukumbini na watu waliokuwa wakiangalia nyumbani kupitia DSTV