Jokate na Martin kadinda kwa pamoja kama wanavyo onekana ni wadau wakubwa wa fashion indusry yani jokate ni mwanamitindi{model} huku Martin ni mbunifu wa mavazi{single batton}.Zogo lazuka juu yao baada ya kuonekana pamoja mda mwingi  na jokate wakati yeye ni msimamizi wa wema sepetu,na huku wema na jokate ni mahasimu sio kwajili ya diamond lahsha katika tasinia ya mitindo..
 
Top