Wellcome

.

.

KUMEKUCHA MISS TZ WAREMBO WA UWASHA MOTO GYM

http://www.baabkubwamagazine.com/wp-content/uploads/2014/09/8.jpegWarembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili katika kambi  jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na kinyang’anyiro hicho, na wawapo kambini huwa wanapa semina muda asubuhi na mapumziko ya mchana jioni huwa wanafanya mazoezi katika chumba maalumu cha mazoezi ‘Gym’ kwa ajili ya kujitayarisha miili yao iwe kwenye muonekano mizuri kimashindano.
Read More

MISS UNIVERSE 2014 AUDITION IN DAR
Shindano kubwa Tzee  linalo wakutanisha Walibwende wa Mikoa kadhaa ambapo wameweza kuchukua Warembo mikoa kadhaa ila wameunganisha mikoa  ambapo mikoaa  amabo wanyanda ya juuUsahili ulifanyika Mbeya na  Arusha . Bk Cop tulipiga story na Moja katiaya Majai wa Usahili huo  Seif Kabelele alifunguka kuhusu usahilihuo .
Read More

WASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

05FKB_8653
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
06FKB_8716Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Benina Mwananzila akiwapa maelezo warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 juu ya bwawa la viboko na mamba lililopo katika hifadhi hiyo wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. 11FKB_9136
Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Ibrahim Kassim akiwapa maelezo warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 juu ya sifa kuu za hifadhi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
02FKB_8385
Kaimu Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro, Apaikunda Mungure akiwagawia vipeperushi vilivyo na taarifa mbalimbali za hifadhi hiyo warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 waliotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani. 
01FKB_8331
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. 
07FKB_8977
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 wakiwa Camp ya Mbuyu iliyopo katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana walipotembelea hifadhi hiyo ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. 

EVELYN BAASA NDIYE REDD’S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014 MFAHIDI HAPA

FKB_0843
Read More

TAZAMA PICHA ZA WAREMBO WA SINZA,UBUNGO,DAR INDIAN OCEAN NA MSASANI NDANI YA MISS KINONDONI TALENT SHOW 2014

Huyu hapa hipper man HK 

zile catwalk zilianza hivi

Makirikiri ndani

Huyu kipaji chake alicho onyesha ni kuimba......
Read More
Designed By Seo Blogger Templates