Moja kwa moja  mpaka Ubungo plaza

Ndani ya semina ya Must collage mmoja wa wadhamini wa shindano hili
{eneo ni ubungo plaza}

Kwa umakini na usikivu washiriki wakisikiliza maneno kutoka kwa viongozi wa Must collage

Uwepo wa fullbata.com na mtaalamu wa picha Eli ulomi - EJ Fashion & Media
haukuruhusu chochote kuaribika katika kufanikisha mapicha makali

Picha ya pamoja ya washiriki na mmoja wa viongozi wa Must callege
Baada ya kutoka Must callege washiriki na team nzima walee 


                                                                       
crayz photoshoot na muda wa full kutabasamu ulianzia hapa



Amani na furaha ....ivyo tu yani

Crazyz moment 

Huku kipindi kinarekodiwa huku mapicha picha 

Washiriki wawili kwenye pozi picha kali ndio matokeo

Nazani tunapenda tunachokitazama 


Mmoja wa waratibu washindano akitazama kinachojiri location

Nisheedah

Washiriki safari yao ili weka halama ya mkato kwa kumtembelea mama wa mitindo tanzania Bi Asia Idarous
nakuweza kupata mawili matatu ya husuyo tasinia ya mitindo hasa mavazi na kuondoka na deal moja murwa kabisa.
KOBAZI PHOTOGENIC  THE YEAR 2014 ni shindano la kumtafuta mrembo mwenye mvuto wahali ya juu kwenye picha,linaletwa kwenu na kampuni ya kobazi ikishirikiana na wadhamini wengine mbali mbali wa kiwemo Sibuka tv,Startimes,Pasua media. RedEdge , Fabric fashion na wengine SITA kukuletea kipindi cha TV chakuonyesha yayo jiri kwenye shindano hili liliojaa mengi kuhusu urembo,muonekano na picha mwanzo mapaka finali yani mwisho.
Unaweza kuwatazama na kuwapigiwa washiriki kura kupitia www.kobazi.com na endelea kutembelea www.udakumagazine.com  au Ej fashionrealmedia.blogspot.com kwa habari  za mara kwa mara.

 
Top