Baada ya figisu figisu ya muda mrefu leo hii Mwanadada Agnes Gerald aka Masogange ameamua
kufunguka kuhusu mahusiano yake na huyu jamaa....hii inanikumbusha ile Hadithi ya Mfalme Ana Maskio Kama ya Punda...Kwani dada Masogange alikaanalo sana hili na leo kasema mwenyewe na kuweka picha hizi INSTANGRAM.

pata application ya ej fashion website na habar zote za town moja kwa moja kwenye simu yako kwa kuingia hapa na kudowload our android application http://www.appsgeyser.com/1038654


 
Top