Wasanii wa wili hawa Irene woya maarufu sana  katika tasnia ya  filamu  ameonekana mara kwa mara akiwa katika mikao ya kimahaba  hasa batani akiwa na msanii huu ajulikanae kwa jina la Manaiki Sanga hivyo sasa watu wahasubiri utambulisho hivyo kumwita Manaiki SHEMEJiiiiiiii........
 
Top