Hatimae taji la miss world 2013 la valiwa na miss philippines anaejulikana kwa jina la Megan young akifwatiwa na mshindi wa pili kutoka france huku wa Africa tukiambulia kuibuka nafasi ya tatu tuki wakilishwa na miss Ghana , picha zaidi baada ya muda mfupi.....
 
Top