YAP YAP FLAVIANA MATATA ametokelezea  kwenye cover ya FRENCH MAGAZINE  , MBALI NA IYO AMETOKELEZEA KATIKA TOVUTI YA DUKA MAARUFU MAREKANI LA WAUZAJI WA NGUO NA ACCESORIES KUTOKA KWA MADESIGNER TOFAUTI  MAREKANI
YE akiwa ametinga nguo za EVAN  PICANE  ANNE KLEIN , TAHARI  BY ASL & SL FASHIONS
hongera TOTO safari hii nimeenjoy hata nguo ulizofishwa zinavalika hata kwa kina sisiflaviana matata for french magazine
WIKI ILIYOPITA NILIMTOA AKITANGAZA KATE SPADE cheki HUMU

 
Top