Model maarufu kwa jina la masogange,ametupia piacha mbalimbali akiwa katika gym akisema anafuraha kurudi nyumbani huku akidai sababu za yeye kurudi tanzania sio lazima kila mtu azijue ula kwaufupi  ni kujuwana na watu wengi wakubwa nj'e na ndani ya nchi pia uzuri na mvuto alionao una changia,kwa sasa anafanya zoezi kwa wingi kutengeneza mweili....
 
Top