Mwigizaji maarufu nchini na nje ya nje ajulikanae kwa jina la Jackline Wolper ameonekana katika muonekano mpya akiwa amefaa vazi kakitenge  ambapo sio kawaida ya msanii huyo na wasanii wengine ,ila kwaujumla nivazi alipendalosana sasa kulivaa mara kwa mara kwakuwa linampendeza na nila heshima kwa kuwa linaonyesha  mambo mengi kama  ualisia, uzalendo na mengineo...
 
Top