Baada ya star mwigizaji,meneja wa unendless fame company na alie kuwa miss tanzania 2006, ametupia picha hii katika mtandao wa instogram,ambapo watu wengi kutoa maneno juu ya picha hii ya kuwa amepungua sana .
Star huyo amejibu comment hizo akisema kuwa anataka kurudia mwili wake wazamani wa ki miss ameschoshwa na mwili alionao..........
 
Top