Miss Tanzania 2013 happiness ambae amevalishwa tajihilo na kujinya kulia na kitita cha pesa milioni nane bila kusahahu gari lenye hadhi ya msichana  mrembo kama huyo.
Huku wakati ushindi wake kufurahiwa na watu wengi pia vituko vimekuwa vikiibuka baada ya  shabiki mmoja kuropoka kwanguvu akimshauri mshindi wataji hilo kitokutumia mkorogo kama wana wakena warembo wenigine wanavyo fanya......
 
Top