| Huyu hapa hipper man HK |
| zile catwalk zilianza hivi |
| Makirikiri ndani |
| Huyu kipaji chake alicho onyesha ni kuimba...... |
| Yupi ni yupi ........majaji wakiweka umakini kupata alie bora |
| patamu hapo......akionesha utaalamu wakucheza na moto pasipo kuungua |
| mh kitolondo kitorondo ...... |
| Miss Ubungo aki disgne vazii kwastage |
| apanachezeaa |
| ni shidaaaaa |
![]() |
| Hatareeeee kipaji alichoonesha nikucheza na moto bamoja na chatu.... |
| Hatimae hao ndio walioibuka washindi tano bora wa Kinondoni Redds Miss talent 2014 ndani ya new maisha club |
