picha ya wawili hao ilio pigwa photostudio
Jokete akiwa amechora tattoo ya masoud kipanya logo

masod kipanya
pata application ya ej fashion website na habar zote za town moja kwa moja kwenye simu yako kwa kuingia hapa na kudowload our android application http://www.appsgeyser.com/1038654
moja ya picha yao ya ukaribu kipindi hicho.
siri hii imefichuka baada ya post ya jokate kusema kwenye kipindi cha the one show,cha chanel one kuwa sijawahi chora tattoo yaina yoyote hapo ndipo ,reporter wetu mdadisi wa mambo aka zizaka picha hizi nakupata picha ya jokate akiwa na tattoo yenye logo ya kipanya,ndipo ikagundikana jokete alichagua kuchorwa tattoo iyo wakati akipanda kwenye jukwa akiwa  Udsm kama super model kama ilivyo andikwa humu kwenye site yao http://udprsa.blogspot.com/2012/03/pr-everywhere-this-is-how-they.html.
Ishu hii iliofanyika muda kidogo imefichua siri kuwa jokate alishawahi kumpenda sana kipanya hadikufikia kuchora logo yake na kuingia nae photoshoot kwajili uakupiga nae picha za ukaribu.
source:ejfashion&media

 
Top