mtoto aliepewa jina la Ritha

Emmanuel Msuya na madam Ritha
picha kipindi alivyo shinda akipewa zawadi na Bss}
Mshindi Emmanuel Msuya hivi karibuni amefanikiwa kupata mtoto wa kike ,hivyo kwa mafanikio aliopata kupitia Bss akaamua kumpa jina mtoto wake huyo wakike jina la Ritha amnalo nijina la Madam Ritha wa Bongo star search ikiwa ni ishara ya upendo na shukurani zake kwa madam huyo kuwachanzo cha mafanikio yake makubwa.
Madam Ritha alichokiandika facebook: "Napenda kuchukua nafasi hii kutoa pongezi kwa mshindi BSS 2013 Emmanuel Msuya kupata mtoto wa kike nakumpa jina langu la Ritha"
Mungu akuzidishie mengi juu ya studio yako uliofungua na akuongezee ujenge nyumba nyingine ya kisasa. 

 
Top