Shindano kubwa Tzee  linalo wakutanisha Walibwende wa Mikoa kadhaa ambapo wameweza kuchukua Warembo mikoa kadhaa ila wameunganisha mikoa  ambapo mikoaa  amabo wanyanda ya juuUsahili ulifanyika Mbeya na  Arusha . Bk Cop tulipiga story na Moja katiaya Majai wa Usahili huo  Seif Kabelele alifunguka kuhusu usahilihuo .

”Tume jipanga kuchukua Warembo wenye vigezo na  wenye kujielewa na wana jiamni . Vigezo vyetu ni  Awe Mrefu , Awe ajolewa , Mwenye kujiammini Awe Naturo . so leo tupo hapa tunatarajia kupata warembo wazuri watakao wezakuwakilisha mikoa yao vizuri na ku fit kwenye shindano la Miss Universe 2014. Kuhusu zawadi  sisi tunacho zingatia katika  Zawadi  tunajari sana Elimu  na tuanzingaiti kumpa Mrembo Pesa za kujikimu ila kwenye Elimu ndio tuna Wasaidia ili weweze  kufikia marengo yao ”.



 
Top