Ej fashion & media ni moja ya kampuni kubwa inayo husika na models management na promotion,imendelea kupata jina  kwa kufanya kufuru ya kufanya projects,nakujiuza {kuonekana}sehemu mbalimbali na models wake. CEO wa kampuni hiyo ndugu ULOMI ameahidi kazi zao kuendelea zaidi na wata anza zihara yao ya kuzunguka mikoani kutafuta models mbalimbali pamoja na kuwapiga picha{models casting and photoshoot} nia na mazumuni ni kukuza na kuendeleza tasnia ya mitindo na ulimbwende.
kujiunga na kampuni hiyo nakuona kazi zao zaidi BONYEZA HAPA ...www.facebook.com/ejfashionMedia
 
Top