Posted by ej fashion source teentz
STAA wa filamu za Kibongo Wema Sepetu amefunguka kuwa katika maisha yake aliwahi kufanyiwa mambo ya ushirikina(kurogwa) bila kufafanua alirogwa na nani na ugonjwa gani.
Wema amefunguka kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa kila jumatano kupitia East African TV ambapo aliulizwa kama kama anaamini ushirikina upon a kama alishawahi kurogwa ambapo alijibu kuwa anaamini ushrikina upo ila haupi nafasi katika maisha yake kwani anamuamini Mungu.…
STAA wa filamu za Kibongo Wema Sepetu amefunguka kuwa katika maisha yake aliwahi kufanyiwa mambo ya ushirikina(kurogwa) bila kufafanua alirogwa na nani na ugonjwa gani.