Photo: TANGAZO!!
 hIII sio yakukosaaa..... mwambie na mwenzio
Mwanamitindo na mwanamuziki maarufu ajulikanae kwa jina la jokate mwegelo amepost picha hizi ivi karibuni katika mtandao wakijamii wa Instagram,akionekana kutawaliwa na vidani mbalimbali nyenye ishara ya msalaba,hivyo kuzua gumzo mitandaoni kwakuwa watu wadai amejiunga free mason ndio maana anapenda vidan vya ishara hiyo...
 
Top