Wajina huyo ndio mwanamke yule penny dumu gani hata changamoto hana,wema ni mzuri,mvumilivu,anjua kuhandle,miss independent,anakupenda,mtafutaji,mpenda maendeleo,japo mliachana ww ndio uliongea mbovu but xio yy cheki ulimletea dharau pale Mlimani city,pia ktk cm lkn hakujali anaongea wazi anakupenda Naseeb,take care boy she loves you very much,mtafute mtoto na huyo mrembo hakuna mwanamke anayekuweza zaid ya huyo......