coming soon
Mbunifu wa mavazi Martin Kadinda akiwa pamoja na Jack patrick wakila bata katika moja ya hotel za kifahari,imeonyesha kuwa Jack na Martin kuwa wapo karibusana na furaha baada ya mwana dada huyo kupitia majanga kibao....hivyo sio siri tenauwepo wa furaha kati ya jack na martin ....