PENNY huyo akishow love na Eli ulomi

kata keki tuleee!! hii ndio picha ya keki iliopigwa kwambaali

Eli ulomi ,Vannesa Mdee na Bob Jounior {kazini}
Moja wa cameraman wanofanya poa sana nchini ,na mwanzilishi wa EJ Fashion Model agence anaejulikana kwa jina Eli Ulomi,anasherekea siku yake yakuzaliwa leo january 25 ,iliopambwa na upendo alio uonyesha mtangazi wa tv aitwae Penny {shemeji yetu wazamani kwa diamond } hakika imependeza ...
more photo click here www.facebook.com/EJFashionMedia

 
Top