
Mwigizaji maarufu kwajina la Kajala ametupia picha zake mtandaoni kupitia instagram zenye mwonekano wake mpyaa ,wa ngozi kukolea rangi na kun'gaa sana pia umbo lake kujichora zaidi.

Siri ya mabadiliko haya ina daiwa kuwa ni utumiaji wa dawa za mchina ....