Kijana ambae jina lake halija famika mpaka sasa,aneishi mwnanyamala dar es salaam anae semekana kuwa ni mwanafunzi ambae limaliza kidato cha nne mwaka jana yan elfu 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya kidato cha nne,matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwakupta ziro
 
Top