mmmmh uyu hapa B12 na Naj

                             Its b12
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha redio cha radio ya clouds fm anaefamika kwajina la B dozen alionekana na mpenzi wa zamani wa mr blue anaefamika kwajina la Naji maeneo fulani wakiwa katika pozi la mahaba...Sijui nahizi ni fununu

 
Top